Usafirishaji na marejesho

Usafirishaji

Tunafikisha mizigo mikoa yote ya Tanzania.

Baada ya kuagiza, tunakupigia simu kuthibitisha oda, anwani na siku ya kufika kulingana na mkoa wako. Gharama yoyote ya usafirishaji utaambiwa kwenye simu hiyo kabla oda haijatumwa.

Malipo

Malipo yote ni pesa taslimu unapopokea mzigo. Hatuchukui malipo yoyote mtandaoni.

Marejesho

Ukipokea bidhaa yenye hitilafu, iliyoharibika, au isiyo ile uliyoagiza, wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp ndani ya siku 7 tangu upokee mzigo.

Tafadhali hifadhi bidhaa na boksi lake katika hali uliyoipokea. Tutakueleza hatua za kubadilishiwa bidhaa au kurudishiwa pesa.